Salamu za pole kwa kifo cha Rais wa awamu ya pili hayati Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

Salamu za pole kwa kifo cha Rais wa awamu ya pili hayati Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

Mkuu wa Chuo cha DIDES anatoa pole kwa watanzania wote kwa kuondokewa na aliyekua Rais wa awamu ya pili wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania hayati Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

Pumzika kwa Amani!!

Leave a comment