Dirisha la Udahili la mwezi machi (March Intake 2024/2025)

Dirisha la Udahili la mwezi machi (March Intake 2024/2025)

Tunafurahi kutangaza ufunguzi wa maombi kwa ajili ya masomo ya mwezi Machi (March Intake)! Karibu ujiunge na Chuo chetu na kufungua milango wa fursa tele katika kozi zifuatazo:

Kozi za Cheti na Stashahada

  • Kilimo
  • Maendeleo ya jamii

Kozi za VETA

  • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT)
  • Matumizi ya Kompyuta (Computer Application)

Tuma maombi sasa ili kuanzisha safari yako kuelekea mustakabali wa ndoto yako, kwani Madarasa yataanza tarehe 18 Machi 2024.

Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: tarehe 17 Machi 2024

Tuma Maombi HAPA

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0685506450 / 0679550047